Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Toleo la Ligi ya Mabingwa Ulaya la msimu wa 2024/25 litafuata muundo mpya. Tunakueleza mabadiliko yatakayokuwepo, mambo yatakayobaki vilevile, maana yake kwa mashabiki, na jinsi itakavyoathiri…
Baada ya kuwatoa Vital’O ya Burundi kwa jumla ya mabao 10:0 klabu ya Yanga itakutana na mabingwa wa msimu uliopita 2023/2024 wa Ligi kuu ya Ethiopia…
Anaandika mwana mitandao maarufu Tanzania anayefahamika kama Ujugu Hapa Nataka twende taratibu ili tuelewane. Mdogo mdogo mpaka mwisho. Kama unajijua una mihemko, usisome hili andiko, HALIKUHUSU!…
Anaandika mwana mitandao maarufu Tanzania anayefahamika kama Ujugu Hapa Nataka leo tuongee soka kiufundi, story za porojo zikae pembeni. Unapotaka kuona uwezo wa mchezaji, Kabla ya…
Hii ni ratiba kamili ya mechi za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa Tanzania Bara wawakilishi wake ni Azam Fc na Yanga huku Tanzania…
HATIMAYE Bodi ya Ligi wametangaza Ratiba ya Msimu wa Ligi Kuu 2024/25 ambayo itaanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 16 kwa mchezo mmoja pekee, huku Simba wakifungua…
Ilipoishia “Usiku wa siku hiyo ulikuwa ni mrefu kwa Wanandoa hawa kuungana pamoja, Alexander hakuamini kabisa kwamba mwanamke aliekuwa akiishi nae kumbe alikuwa anagrade za juu…
Leo ndio ile siku ambayo macho na masikio ya wapenda soka barani Afrika wanasubiria kwa hamu droo rasmi ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika…
Mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya UEFA EURO 2024 utaanza kwa mechi kati ya Uswisi na Italia na Ujerumani dhidi ya Denmark siku…
Ratiba za Ligi Kuu ya Uingereza za msimu wa 2024/25 zimetolewa na tarehe za mechi zote 380 ziko hapa chini. Mechi za mwishoni mwa wiki na…