Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Wachezaji wengi walipaswa kumchukua MKUDE kisha kulifanya darasa huru huyu kwani ni mchezaji wa pekee sana na sijawahi kuwaona wachezaji wa namna hii kwa kipindi kidogo,…
Lipo jambo hapa ambalo lazima tulizungumze, kuhusu mchezaji FEISAL SALUM na watu wa Yanga SC naamini wapo baadhi ya Wachambuzi wanamuingiza kwenye chuki bila ya yeye…
Ilipoishia “Tulikwenda kusimama pembeni ya nyumba akaanza kuniambia: “Sikiliza, kama unaishi nyumba ya namna hiyo, unachotakiwa kufanya, kila siku asubuhi na jioni au usiku unapuliza bangi…
Macho na masikio ya wengi hivi sasa ni michuano ya Ulaya ngazi ya timu za taifa (UEFA EURO 2024) ambayo itafanyika nchini Ujeumani ambayo inatarajiwa kuanza…
Toleo la 17 la mashindano ya Ulaya kwa ngazi ya timu za taifa inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 14/06/2024 mpaka tarehe 14/07/2024 ambapo mwenyeji wa…
Mataifa ya Afrika yataanza tena safari yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026 wiki ijayo. Mechi ya raundi ya 3 na ya 4…
Saido akiwa Yanga iliishi maisha yenye furaha muda wote, aliheshimika na kuimbwa Kwa melodi tamu zisizomchosha masikio, melodi zilizoisindikizwa na nickname ya “godfather wa Bujumbura”, akiwa…
Huenda hii ndio vita yenye mvuto zaidi inayosubiriwa kati ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga ambao wote hadi…
Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili wa funga kazi unatarajiwa kuwa Mei 28 2024 kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ipo…
Swali langu ni dogo sana kuhusu Azam FC kukosa ubingwa wa Ligi Kuu. Kama tunaitazama Azam FC haina mvuto kwa upande wa KIBIASHARA Sasa hua tunatumiaga…