Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Africa | CAF
Kwa wachezaji wa Yanga, Natumai barua hii inawakuta nyote katika hali njema ya afya na nguvu za kutosha kwa maandalizi ya mechi muhimu dhidi ya Mamelodi…
Mchezo ulikuwa wa kimbinu zaidi kwa pande zote mbili yaani Yanga pamoja na Mamelodi kiasi ambacho hatukutarajia mchezo wa namna hii timu zote zikicheza taratibu hususani…
Timu zote mbili kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ngumu kwao kuwa na takwimu za wao kwa wao kutokana na hiyo ikisababishwa na kutokukutana kwa miaka…
Ulikuwa Mchezo mzuri kutoka kwa pande zote mbili yaani Simba na Al Ahly ukianza kwa kasi sana huku timu zote zikifunguka kwa dakika 15 za mwanzo…
Ni Simba dhidi ya Al Ahly moja kati ya mchezo mkubwa na wenye matokeo ya kufurahisha kwa timu zote mbili, kwa sasa hakuna timu isiyomjua mwenzake…
Klabu ya Yanga itashuka dimbani kukipiga na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika, Jumamosi hii Machi 30,…
Timu yoyote duniani inahitaji mchezaji ambaye anarahisisha kazi za timu kiwanjani kwa wenzake hata kwake binafsi basi Clatous Chama anarahisisha kazi za wenzake pale Msimbazi. Benchikha…
Pamoja na umwamba wake wote timu Al Ahly mbele ya Simba SC haina rekodi ya kutisha ambayo inaweza kumfanya Mnyama Simba awe mnyonge. Takwimu zinazungumza lakini…
Klabu ya soka ya Yanga wanatarajia kushuka Dimbani, Machi 30, 2024 kumenyana na miamba ya soka nchini Afrika Kusini katika mchezo wa robo fainali ya CAFCL…
Maswali ni mengi kwanini inazunguzwa sana mechi ya Yanga SC dhidi ya Mamelodi Sundowns na siyo Simba SC na Al Ahly? Jibu lake ni jepesi sana,…