Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Africa | CAF
Watu wengi bila shaka watakua wanajiuliza maswali mengi kichwani mwao nah ii ni baada ya kutangazwa kwa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)…
Hayawi hayawi mwisho yamekua baada ya timu mbili za Tanzania kufika Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa pamoja, Leo tarehe 12 March 2024 imepangwa…
Ile siku ambayo bila shaka kabisa mashabiki wa soka barani Afrika walikua wakiisubiria kwa hamu imewadia na kubwa ni kuhusu upangaji wat imu zitakazokutana hatua…
Klabu ya Petro Atletico de Luanda kutoka nchini Angola ni miongoni mwa zile timu ambazo zimefuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika…
Wakati macho na masikio ya wengi ni mchezo wa hii leo ambao utaamua hatma ya nani anaungana na Asec Mimosas katika hatua ya robo fainali kumbuka…
Wakati bado mashabiki na wanachama wa klabu ya Yanga wakiendelea na kusheherekea kutinga hatua ya robo fainali kwa kumfunga mwarabu bao 4 saaafii basi niwakumbushe tu…
Unaweza ukawa ni miongoni mwa wale ambao wanakua wanajiuliza ni kiasi gani ambacho thamani ya mashindano haya ya CAF iko nayo haswa kwa nafasi ambayo utakua…
Naweza kusema ushindi wa bao 4 kwa 0 dhidi ya CR Belouizdad na kuwafanya Yanga kufuzu hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika kwa mara…
Ile siku ambayo huwa na hisia tofauti kwa mashabiki wa soka wa Tanzania lakini pia na wapenzi na wanachama wa klabu ya Yanga ndio leo ambapo…
Mnyama simba yupo zake ugenini leo hii nchini ivory coast akiwinda alama tatu dhidi ya Asec Mimosas na ni Simba na Asec wanakua ni moja kati…