Biriani la Ulaya July 6, 2023Barcelona wakamilisha makubaliano ya kumsajili Vitor Roque Barcelona inasemekana itamsajili Vitor Roque, ambaye pia alikuwa akiwindwa na Arsenal na Chelsea, kutoka klabu ya Athletico Paranaense kwa mkataba wenye thamani ya Euro milioni 40.…