Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: jasusi
Ilipoishia “Inawezekana P55 anataka kuanza na Watu wa Usalama wa Taifa? Hapana, hata yeye alikuwa Mtu wa Usalama wa Taifa, hawezi kuuwa Familia yake, mna hakika…
Ilipoishia “Machozi yalimtoka Dawson akakumbuka jinsi Mama yake alivyomwambia mpango huo, kuanzia kipindi hicho aliivaa saa hiyo katika Maisha yake yote hadi anafikia uzee wa Makamo, …
Ilipoishia “Hayo ni majina ya Watu wa siri wa Mzee Dawson, Sande yupo hai, moja ya kaburi hapo linaweza kuwa kaburi la Zola, fukueni haraka sana.”…
Ilipoishia “Hizi ni risasi zilezile, chukueni maiti hizi na wengine fanyeni msako hapa haraka sana” Ilikuwa ni sauti ya mmoja wa Askari waliokuja pale kanisani, bado…
Ilipoishia “Kama siyo huyu basi Zola alikuwa anakufa kwa mikono yangu” “Hata hivyo Zola ameshakufa, aliyebakia ni huyo Mtu, anahitajika kumfuata Zola alipo haraka iwezekanavyo” Aliongeza…
Ilipoishia “Kama Maisha yangu yatakoma leo Ikulu, Sande uje kufanya hii kazi kuliokoa Taifa mara moja” Alisema Zola kisha chozi lilimtoka, akakata simu hiyo. Visa vya…
Ilipoishia “Inawezekanaje Zola?” “Hiyo ndio hali halisi ndio maana nimekuita hapa ili tuzungumze, nahisia mbaya juu ya Mkuu wa Nchi lakini sitaki kujiaminisha chochote” “Unataka kusema…
Ilipoishia “Fuata maelekezo yangu, kuwa makini hao Watu wana akili ya ziada sana wakati mwingine Watu hawaamini kama Huyo Mzungu ni Binadamu, wana akili iliyozidi…unaweza kuwa…
Ilipoishia “Aaaah Zola” ilisikika sauti upande wa Mzee Dawson, ikionesha alikuwa akijigeuza. “Hebu fanya taratibu tuonane ana kwa ana Mzee Dawson, nahisi kuchanganikiwa sasa” Zola alikata…
Ilipoishia “Unatakiwa kuwa makini sana sababu kwa namna alivyo huyo Mtu si rahisi akamuamini Mtu kwa Mara ya kwanza, unapaswa pia kujuwa kuwa ukibainika basi kila…