Browsing: riwaya za kijasusi

Ilipoishia “Inawezekana P55 anataka kuanza na Watu wa Usalama wa Taifa?  Hapana, hata yeye alikuwa Mtu wa Usalama wa Taifa, hawezi  kuuwa Familia yake, mna hakika…

Ilipoishia “Machozi yalimtoka Dawson akakumbuka jinsi Mama yake  alivyomwambia mpango huo, kuanzia kipindi hicho aliivaa saa  hiyo katika Maisha yake yote hadi anafikia uzee wa Makamo, …

Ilipoishia “Hayo ni majina ya Watu wa siri wa Mzee Dawson, Sande yupo  hai, moja ya kaburi hapo linaweza kuwa kaburi la Zola,  fukueni haraka sana.”…

Ilipoishia “Hizi ni risasi zilezile, chukueni maiti hizi na wengine  fanyeni msako hapa haraka sana” Ilikuwa ni sauti ya mmoja wa  Askari waliokuja pale kanisani, bado…

Ilipoishia “Kama siyo huyu basi Zola alikuwa anakufa kwa mikono yangu”  “Hata hivyo Zola ameshakufa, aliyebakia ni huyo Mtu,  anahitajika kumfuata Zola alipo haraka iwezekanavyo”  Aliongeza…

Ilipoishia “Kama Maisha yangu yatakoma leo Ikulu, Sande uje kufanya hii  kazi kuliokoa Taifa mara moja” Alisema Zola kisha chozi  lilimtoka, akakata simu hiyo. Visa vya…

Ilipoishia “Inawezekanaje Zola?” “Hiyo ndio hali halisi ndio maana nimekuita hapa ili  tuzungumze, nahisia mbaya juu ya Mkuu wa Nchi lakini sitaki  kujiaminisha chochote”  “Unataka kusema…

Ilipoishia  “Fuata maelekezo yangu, kuwa makini hao Watu wana akili ya  ziada sana wakati mwingine Watu hawaamini kama Huyo Mzungu ni  Binadamu, wana akili iliyozidi…unaweza kuwa…

Ilipoishia “Aaaah Zola” ilisikika sauti upande wa Mzee Dawson, ikionesha  alikuwa akijigeuza.  “Hebu fanya taratibu tuonane ana kwa ana Mzee Dawson, nahisi  kuchanganikiwa sasa” Zola alikata…

Ilipoishia “Unatakiwa kuwa makini sana sababu kwa namna alivyo huyo Mtu  si rahisi akamuamini Mtu kwa Mara ya kwanza, unapaswa pia  kujuwa kuwa ukibainika basi kila…