Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Katika ulimwengu wa soka, mbinu za uchezaji zinaendelea kubadilika na kujiimarisha. Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids, wamefanikiwa kuingia katika anga za…
Soka ni mchezo wenye misingi yake ya kiutawala katika taifa hadi kidunia. Soka limekosa majeshi tu na mwisho kuwa kama mataifa mengine yalivyo na kuendeshwa.Katika takwimu…
Nchini Uingereza Ligi kuu ya nchi hiyo imekuwa maarufu sana duniani kwa sasa na hiyo inajaziwa na namna Ligi yao ilivyo na ushindani uliyopo ndani yake,…
Hivi sasa mchezo wa mpira wa miguu ni moja ya michezo maarufu duniani na umekuwa ukiteka hisia za watu mbalimbali na wa rika zote. Soka ndiyo…
Soka la bara la Afrika limeanza kupiga hatua limeanza kukuwa sana kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja, kwa sasa vilabu vingi vilivyoonekana vya kati…
Baada ya kuwatoa Vital’O ya Burundi kwa jumla ya mabao 10:0 klabu ya Yanga itakutana na mabingwa wa msimu uliopita 2023/2024 wa Ligi kuu ya Ethiopia…
Wakati huu ambapo kuna maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kumekuwa na upatikanaji wa habari mbalimbali kwa urahisi na uharaka sana na kumepelekea kuwa na uhuru zaidi…
Anaandika mwana mitandao maarufu Tanzania anayefahamika kama Ujugu Hapa Nataka twende taratibu ili tuelewane. Mdogo mdogo mpaka mwisho. Kama unajijua una mihemko, usisome hili andiko, HALIKUHUSU!…
Moja ya njia bora ya kutaka mafanikio ni kukubali kukuwa, kukubali kubadilika na kuongeza juhudi na wakati mwingine kukubali kuiga mazuri yaliyofanywa na wengine waliyojuu yako…
Ilipoishia “Muhonzi, kuna dili lakini ni dili la kifo, narudi Dar Mchana wa leo” alisema Elizabeth kwa kujiamini kabisa mara baada ya simu kupokelewa, kisha akaikata…