Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Africa | CAF
Baada ya kuwatoa Vital’O ya Burundi kwa jumla ya mabao 10:0 klabu ya Yanga itakutana na mabingwa wa msimu uliopita 2023/2024 wa Ligi kuu ya Ethiopia…
Hii ni ratiba kamili ya mechi za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa Tanzania Bara wawakilishi wake ni Azam Fc na Yanga huku Tanzania…
Bila njia hakuna kwenda,bila ukweli hakuna kujua,bila uzima hakuna kuishi. Ukweli na uzima ni muhimu, Kusifiwa kusingetuletea shida kama tusingekuwa tunajisifu sisi wenyewe badala ya kusubiri…
Ligi kuu ya Tanzania ni moja ya Ligi bora na kubwa sana barani Afrika ni Ligi ya sita kwa ukubwa Afrika, Wacha ni kurejeshe miaka 10…
Leo ndio ile siku ambayo macho na masikio ya wapenda soka barani Afrika wanasubiria kwa hamu droo rasmi ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika…
Mataifa ya Afrika yataanza tena safari yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026 wiki ijayo. Mechi ya raundi ya 3 na ya 4…
Bila shaka kila ukitazama mechi za Al Ahly kwenye warmup huwa unaona wachezaji wote wamevaa jezi namba 72. Unajua maana yake!? twende sawa. Februari Mosi, 2012…
Timu zetu zote (Yanga na Simba) zimetolewa zote kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League), klabu ya Yanga imetolewa na Mamelodi Sundowns ya Afrika…
Maswali na shauku kubwa hivi sasa kutoka nyumbani Tanzania ni michezo ya mkondo wa pili wa ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya robo fainali ambayo…
Kwa wachezaji wa Simba, Natumaini kwamba barua hii inawapata nyote katika hali njema na hamu kubwa ya kuelekea kwenye mchezo muhimu wa robo fainali dhidi ya…