Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Ilipoishia “Machozi yalimtoka Dawson akakumbuka jinsi Mama yake alivyomwambia mpango huo, kuanzia kipindi hicho aliivaa saa hiyo katika Maisha yake yote hadi anafikia uzee wa Makamo, …
Kwako Kocha Miguel Gamondi, Kwa heshima na taadhima, napenda kutumia fursa hii kukuandikia barua hii ambayo nina Imani kuwa utapata wasaa wa kuisoma ingawa safari yako…
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetoa orodha ya wateule kwa vipengele vya wanaume kwa ajili ya #CAFAwards24, huku shauku ikizidi kwa hafla ya Tuzo iliyopangwa…
Tayari droo ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na ile ya kombe la shirikisho Afrika imefanyika na zile timu ambazo zimefuzu 16 bora kwa…
Katika ulimwengu wa soka, mbinu za uchezaji zinaendelea kubadilika na kujiimarisha. Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids, wamefanikiwa kuingia katika anga za…
Kwenye soka imezoeleka kuwa kila mchezaji ana nafasi yake anayoimudu vyema lakini huwa inatokea mara chache kuona Mchezaji wa ndani anakuwa kipa. Ndio yaani yule labda…
Toleo la Ligi ya Mabingwa Ulaya la msimu wa 2024/25 litafuata muundo mpya. Tunakueleza mabadiliko yatakayokuwepo, mambo yatakayobaki vilevile, maana yake kwa mashabiki, na jinsi itakavyoathiri…
Baada ya kuwatoa Vital’O ya Burundi kwa jumla ya mabao 10:0 klabu ya Yanga itakutana na mabingwa wa msimu uliopita 2023/2024 wa Ligi kuu ya Ethiopia…
Anaandika mwana mitandao maarufu Tanzania anayefahamika kama Ujugu Hapa Nataka twende taratibu ili tuelewane. Mdogo mdogo mpaka mwisho. Kama unajijua una mihemko, usisome hili andiko, HALIKUHUSU!…
Anaandika mwana mitandao maarufu Tanzania anayefahamika kama Ujugu Hapa Nataka leo tuongee soka kiufundi, story za porojo zikae pembeni. Unapotaka kuona uwezo wa mchezaji, Kabla ya…